SAKATA LA FEDHA ZA ESCROW ZALETA GUMZO NCHI NZIMA, JAJI MKUU AJUZURU, NA WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA KAZI, ANNA TIBAIJUKA AACHISHWA KAZI...
VAZI LA KITENGE LATINGISHA KWA KASI KUBWA.!!.
UGONJWA WA EBOLA WATEKETEZA MAELFU YA WATU AFRIKA MAGHARIBI

Wakati wakuu wa mataifa ya Guinea, Sierra Leone na Liberia wanakutana kwenye mji mkuu wa Guinea, Conakry kwa ajili ya kungalia jinsi gani ya kupambana na ugonjwa wa ebola, Shirika la Afya Dunia (WHO), limetangaza kutoa Dola za Kimarekani 100 milioni ili kukabiliana na janga hili ambalo hadi sasa limegharimu maisha ya Waafrika zaidi ya 730.
Pia hali bado ni tete kwani ugonjwa huo unaendelea kuathiri watu wengi zaidi.WHO na viongozi hao wa mataifa athirika, walikutana Ijumaa kuangalia jinsi gani ya kutumia pesa hizo kwa mapambano ya ebola ..
AJALI ZA MABASI MAKUBWA YAENDAYO MIKOANI ZINAZOENDELEA ZAPELEKEA MAELFU KUPOTEZA MAISHA, ...
Taarifa inasema gari aina ya NOAH ilikuwa imebeba abiria kutoka Itigi wakielekea Singida Mjini.Inasemekana Dereva na utingo wa Lori walinusurika na walikimbia kusiko julikana mara tu baada ya ajali hiyo kutokea.
MTOTO WA TANDALE" DIAMOND AIBUKA NA TUZO KEMKEM!!

LUPITA NYONGO TOKA KENYA AWEKA HISTORIA NDANI YA FILM AWARDS!
DADA WA SUPA STAA SOLANGE AZUA TIMBWILI NA SHEMEJI YAKE JAY-Z NDANI YA LIFT..
SISTER WA KANISA CHRISTINA SCUCCIA ASHINDA TUZO YAMUZIKI WA RAP!
NDOA YA MAMILION KATI YA ANGELINA JOLIE NA BRAD PITT ILIYOFANYIKA UFARANSA















No comments:
Post a Comment