Naibu Msajili wa Mahakama ya Kiafrika ya Haki za Binadamu(AfCHR)Nouhou Dialo akizungumza na wanafunzi wanaosoma Sheria katika Chuo cha African Nazarine University , Nairobi nchini Kenya waliofanya ziara ya kujifunza juu ya utendaji kazi wa Mahakama hiyo yenye makao yake Jijini Arusha ,wengine ni Mhadhiri wa Chuo hicho,Nyamweya Mamboleo na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa AfCHR,Sukhdev Chatbar.
Baadhi ya Wanafunzi wanaosoma Sheria katika Chuo cha African Nazarine University , Nairobi nchini Kenya walimsikiliza Naibu Msajili wa Mahakama ya Kiafrika ya Haki za Binadamu(AfCHR)Nouhou Dialo .Wanafunzi wanaosoma Sheria katika Chuo cha African Nazarine University , Nairobi nchini Kenya walimsikiliza Afisa Uhusiano Mwandamizi wa AfCHR,Sukhdev Chatbar wakati akiwatambulisha maeneo mbalimbali ya Mahakama hiyo.Mmoja wa wanafunzi akifurahia kitabu kwenye Maktaba ya Mahakama hiyo lanaWanafunzi wanaosoma Sheria katika Chuo cha African Nazarine University , Nairobi nchini Kenya wakiangalia baadhi ya Kesi zilizowahi kufunguliwa katika Mahakama hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment