Mratibu wa Tiba Asili na Tiba Mbadala kutoka Manispaa ya Kinondoni, John Chikomo akikifunga duka linalouza bidhaa hizo jana, lijulikanalo kwa jina la Ng’aringa’ri lililopo eneo la Sinza jijini Dares Salaam kwa sababu halikusajiliwa.Anayeandika maandishi ni Mfamasia Lucy Mziray na aliyesimama ni Kaimu Msajili Mboni Bakari wote wanatoka katika Baraza la Tiba asili na Tiba Mbadala lililochini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Picha na Magreth Kinabo- MAELEZO.
VIA- FULLSHANGWE
No comments:
Post a Comment