Mwanzilishi wa taasisi hiyo, Bill Austin na mkewe Tani wamekuwa wakiongoza zoezi hilo toka lilipoanza majira ya saa mbili asubuhimjini Moshi jana.Sunday, 9 November 2014
TAASISI YA STARKEY HEARING FOUNDATION YASAIDIA WASIOWEZA KUSIKIA MJINI MOSHI
Mwanzilishi wa taasisi hiyo, Bill Austin na mkewe Tani wamekuwa wakiongoza zoezi hilo toka lilipoanza majira ya saa mbili asubuhimjini Moshi jana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)














Wasichana ambao ni marafiki Lina John ambaye ni albino pamoja na Esther Urassa kutoka Shule Maalumya Mtakatifu Francis iliyopo katika Manispaa ya Moshi walikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanatoa msaadakwa watu waliokuwa wanapewa huduma ya kuwekewa vifaa maalum.



No comments:
Post a Comment