
Haya mambo ya Summer sasa hivi kila mtu kajitundika lijikoti, baada ya mwezi kila mmoja na makoti, raha hii ya joto ni miezi michache tu halafu kazi inaanza!


%20120215/A04772088.jpg)



Stockholm ionekanavyo usiku Wakati wa Summer!






Winter inakuwa na vituko kama hivi! kipindi hiki kila mtu kanuna...













No comments:
Post a Comment