Monday 17 November 2014

MELI MPYA ITAKAYOFANYA SAFARI ZA BAGAMOYO NA DAR YAWASILI

Meli mpya ya MV. Dar Es Saalam iliyoahidiwa na Waziri Magufuli, ilipowasili mjini Dar leo na kushushwa rasmi bandarini meli itakuwa na safari za Bagamoyo na Dar ili kupunguza foleni za magari .

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli leo amepokea kivuko kipya cha MV Dar es Salaam chenye uwezo wa kubeba abiria 300!.

Kivuko hiki kipya kitatoa huduma ya usafiri kati ya Jiji la Dar es Salaam na mwambao wa Bahari ya Hindi hadi Bagamoyo. Kivuko cha MV Dar es Salaam kitakuwa na kasi kuliko kivuko chochote Afrika ya Mashariki na hasa mwambao wa bahari ya Hindi ukiacha Afrika ya Kusini. Mia





No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!