Monday, 3 November 2014
MAPISHI YA LEO!
KUKU WA KUOKA
MAHITAJI
Kuku 1/2 au mzima
Mtindi kikombe 1
Tangawizi 1
Kitunguu swaumu 1/2
Mggie ya kuku 1
Ndimu 1
Chumvi kiasi
Mafuta kiasi
MAANDALIZI NA KUPIKA
1: kata kuku ,osha kisha mchanganye viungo vyote na mtindi kisha weka pembeni kwa saa moja.
2: Baada ya hapo chukua mafuta yamoto sana mwagia katika kuku kidogo kisha funika moshi au mvuke usitoke nje.
3: Baada ya dakika 20 kisha choma katika oveni hadi aive na kuwa rangi nzuri.
Unaweza kumla na chips huku salad ikiwa pembeni kama ilivyo katika picha,pia unaweza kula na ugali nk...
ASANTE KWA MAISHA NA MAPISHI....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment