Lori lililokuwa limebeba mapipa ya lami likiteketea kwa moto baada ya kulipuka mapema leo asubuhi maeneo ya Mikumi mkoani Morogoro. Chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika.
Lori lilokuwa limebeba shehena ya Mapipa ya Lami likiteketea kwa moto eneo la Mikumi Mkoani Morogoro Barabara kuu ya Morogoro Iringa
No comments:
Post a Comment