Wednesday 19 November 2014

FLEUR DE JOUVENCE KWA MAELEZO ZAIDI AU KUJIPATIA BIDHAA YAKO WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA 0783 149 561. KARIBU SANA!


Aloe Fleur de Jouvence,  Άνθος Νεότητας



je ulishawahi kuwa miongoni mwa wadada warembo ambaye unatamani uso wako uwe una mvuto lakini ngozi yako inakuangusha kutokana na kutokuwa na afya bora ingawa umejaribu kila aina ya kipodozi bila mafanikio

wala hauko peke yako kwavile hata mimi nilishakumbwa na hayo lakini nilipokutana na hii bidhaa ndo ikawa mkombozi wangu na sasa ninaweza kutoka ndani kwa confidence kwa vile nina uso wenye afya bora

je ungependa kufahamu zaidi jinsi gani na wewe au mtu unayemfahamu anaweza kufaidika na bidhaa hii?
njoo tuzungumze kwa ushauri wa bure ili uweze kuwa mdada wa mjini unayejiamini maana reception ikiwa mbaya ni sheeeeedah!
#chunusinisheeedah!!
#jipendemdada
#mwanamkereception


KWA MAELEZO ZAIDI AU KUJIPATIA BIDHAA YAKO WASILIANA NASI KUPITIA 
NAMBA 0783 149 561. KARIBU SANA!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!