Rais Uhuru Kenyatta ametoa agizo kwa viongozi wa eneo la Baringo kuhakikisha silaha zilizotwaliwa kutoka kwa maafisa wa polisi na wavamizi zirejeshwe katika muda wa saa 24 huku upinzani ukiishutumu serikali kwa kushindwa kulinda Maisha ya Wakenya.
CHANZO:DW
No comments:
Post a Comment