Baada ya kuvuliwa taji aliyekuwa miss
Tanzania Sitti mtemvu kwa kughushi umri...nafasi ya mimi Tanzania
imenyakuliwa na Mshindi wa pili Lilian KamaziamaLakini mshindi huyu wa pili naye inasemekana sio raia wa Tanzania ni mnyarwanda. LILIAN nini mtoto wa generali wa jeshi KAMAZIAMA ambaye inasemekana sio mtanzania ni mnyarwanda na mmoja wa makamanda na jasusi wa jeshi la kinyarwanda aliyepenyezwa na raisi Kagame
Chanzo:Mchomvuoficial blog















No comments:
Post a Comment