Monday, 10 November 2014

HAYA JAMANI NAFASI ZA KAZI HIZO!

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-

1. KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III (PERSONAL SECRETARY III) NAFASI (5), NGAZI YA MSHAHARA TGS B,
SIFA ZA MWOMBAJI
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amehitimu mafunzo ya Uhazili kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na kufaulu mtihani hatua ya tatu
iii. Awe amehitimu mafunzo ya kompyuta kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na kupata program za Windows, Microsoft office, Internet, E-mail na Publisher

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa9:30 Alasiri
vi. waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.

Maombi wote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 383,
BABATI
Omary M. Mkomole
MKURUGENZI WA MAJI BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 7 NOVEMBA 2014.
=======

HALMASHAURI YA MJI WA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-
2. MTUNZA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORD MANAGEMENT ASSISTANT II) NAFASI (5) MOJA, NGAZI YA MSHAHARA TGS C
SIFA ZA MWOMBAJI
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amehitimu mafunzo ya Utunzaji kumbukumbu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali katika ngazi stashahada (Diploma) katika fani ya masjala
iii. Awe amehitimu mafunzo ya kompyuta kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na kupata program za Windows, Microsoft office n.k

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa9:30 Alasiri
vi. waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.

Maombi wote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 383,
BABATI
Omary M. Mkomole
MKURUGENZI WA MAJI BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 7 NOVEMBA 2014.
=========

HALMASHAURI YA MJI WA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-

3. AFISA KIJIJI WA MTAA DARAJA LA III (MITAA EXECUTIVE OFFICER II) NAFASI (15), NGAZI YA MSHAHARA TGS C.
SIFA ZA MWOMBAJI
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amehitimu mafunzo ya Stashahada (diploma) katika moja ya fani zifuatazo:- Utawala, sheria, Elimu ya jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya jamii na Sayansi ya jamii kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo au chuo kinachotambuliwa na Serikali

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa9:30 Alasiri
vi. waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.

Maombi wote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 383,
BABATI
Omary M. Mkomole
MKURUGENZI WA MAJI BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 7 NOVEMBA 2014.
=========

HALMASHAURI YA MJI WA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-
4. AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II NAFASI (5) NGAZI YA MSHAHARA TGS B
SIFA ZA MWOMBAJI:
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe na stashahada ya maendeleo ya jamii kutoka vyuo vya maendeleo ya jamii.(buhare au rungemba au vyuo vingine vinavyotambuliwa na serikali.)

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa9:30 Alasiri
vi. waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.

Maombi wote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 383,
BABATI
Omary M. Mkomole
MKURUGENZI WA MAJI BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 7 NOVEMBA 2014.
========

HALMASHAURI YA MJI WA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-
5. MSAIDIZI WA MAKTABA DARAJA LA II NAFASI (1)
NGAZI YA MSHAHARA TGS B
SIFA ZA MWOMBAJI:
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amefaulu mafunzo ya wasaidizi wa maktaba (National Liabrary assistant certicate course) yatolewayo na bodi ya huduma za maktaba Tanzania au cheti kinacholingana na hicho.

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa9:30 Alasiri
vi. waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.

Maombi wote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 383,
BABATI
Omary M. Mkomole
MKURUGENZI WA MAJI BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 7 NOVEMBA 2014.
=======

HALMASHAURI YA MJI WA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-
6. FUNDI SANIFU UJENZI DARAJA LA II NAFASI (3)
NGAZI YA MSHAHARA TGS C
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amefaulu mafuZU katika stashahada ya kawaida katika fani za ufundi wa ujenzikatika chuo kinachotambuliwa na serikali.
6 MCHAPA HATI II (ARDHI) NAFASI (2)
NGAZI ZA MWOMBAJI
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amefaulu mtihani wa uhazili hatua ya II kutoka chuo cha utumishi wa umma na ujuzi wa kompyuta hatua ya I na II kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali.

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa9:30 Alasiri
vi. waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.

Maombi wote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 383,
BABATI
Omary M. Mkomole
MKURUGENZI WA MAJI BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 7 NOVEMBA 2014.
=======

HALMASHAURI YA MJI WA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-
8. MKAGUZI WA MJI WA MSAIDIZI DARAJA II NAFASI (1) NGAZI YA MSHAHARA TGPSW1
SIFA ZA MWOMBAJI:
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Mwenye stashahada (Diploma) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na serikali. Katika mojawapo ya ya fani za sharia uchumi, biashara utawala na information technology ambao wamehudhuria na kufunzu mafunzo kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali.
9. FUNDI MSANIFU WA MAJI DARAJA LA II
TGS C NAFASI (3) NGAZI YA MSHAHARA TGS C.
SIGA ZA MWOMBAJI.
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amehitimu chuo cha ufundi kinachotambuliwa na serikali ana cheti cha ufundi (F.T.C)

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa9:30 Alasiri
vi. waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.

Maombi wote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 383,
BABATI
Omary M. Mkomole
MKURUGENZI WA MAJI BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 7 NOVEMBA 2014.
=========

HALMASHAURI YA MJI WA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-
10. FUNDI SANIFU II (ARDHI) NAFASI (3)
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amehitimu shahada ya kawaida katika fani ya upimaji wa Ramani, usimamizi wa ardhi na uthamini kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali.

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa9:30 Alasiri
vi. waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.

Maombi wote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 383,
BABATI
Omary M. Mkomole
MKURUGENZI WA MAJI BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 7 NOVEMBA 2014.

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA 
BENJAMIN WILLIAM MKAPA HIV/AIDS
TANGAZO LA KAZI (LA MARUDIO)

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na Taasisi ya Benjamin William Mkapa HIV/AIDS inatekeleza Mradi wa kuimarisha mifumo ya huduma za afya ( Health Systems Strengthening) kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia wa kupambana na UKIMWI, Kifua Kikuu 

na Malaria - Mzunguko wa 9 ( Global Fund Round 9). Baadhi ya malengo ya mradi ni pamoja na; kuongeza wataalam wa afya, ili kuimarisha huduma za UKIMWI, Kifua Kikuu, Malaria na huduma nyinginezo katika Halmashauri za Wilaya zenye upungufu wa watumishi wa afya.
Katika kipindi cha miaka minne ( 2011 - 2014) ya utekelezaji wa mradi huu, Taasisi imefanikiwa kuajiri watumishi wa afya 452 na wakufunzi wa afya 182 na kuwapangia kazi katika Halmashauri za Wilaya 70 na Vyuo vya afya 43.

Ili kuhakikisha malengo ya Mradi huu yanafikiwa, Taasisi inazo nafasi zilizo wazi kama zinavyoanishwa hapo chini:
a)Nafasi za kazi katika Halmashauri za Wilaya:

a)Nafasi za kazi katika Halmashauri za Wilaya:
Kada/
Wilaya
Afisa Tabibu (Clincial Officer)
Daktari (Medical Officer)
Muuguzi
( Nurse)
Fundi Sanifu Maabara ( Lab Technologist)
Fundi Sanifu Madawa (Pharmaceutical Technologist)
Nafasi Wazi (Vacant Post)
1.Chunya DC
1
1
2. Kigoma Vijijini
1
1
3. Mufindi DC
1
1
4. Mkinga DC
1
1
5. Njombe DC
1
1
6. Ukerewe DC
3
3
7. Kibondo DC
1
1
Jumla
5
1
1
1
1
9
b)Nafasi za wakufunzi katika Vyuo vya Afya:
Chuo
Kada
Nafasi wazi
Chuo cha Uuguzi na Ukunga Mkomaindo - Mtwara
Afisa Muuguzi ( Nursing Officer)
2
Chuo cha Uuuguzi na Ukunga Korogwe - Tanga
Afisa Muuguzi ( Nursing Officer)
2
Chuo cha Uuguzi na Ukunga Newala - Mtwara
Afisa Muuguzi ( Nursing Officer)
1
Chuo cha Uuguzi na Ukunga Tanga
Afisa Muuguzi ( Nursing Officer)
3
Chuo cha Uuguzi na Ukunga Bagamoyo - Pwani
Afisa Muuguzi ( Nursing Officer)
2
Chuo cha Maafisa Tabibu Kigoma
Daktari (Medical Officer)
4
Chuo cha Maafisa Tabibu Kilosa - Morogoro
Daktari (Medical Officer)
1
Chuo cha Maafisa Tabibu Mafinga - Iringa
Daktari (Medical Officer)
2
Chuo cha Maafisa Tabibu Musoma - Mara
Daktari (Medical Officer)
3
Chuo cha Maafisa Tabibu Sumbawanga - Rukwa
Daktari (Medical Officer)
5
Chuo cha Maafisa Tabibu Wasaidizi Maswa - Shinyanga
Daktari (Medical Officer)
5
Jumla
30

Izingatiwe kwamba:

• Ajira ndani ya mradi huu itatolewa kwa mkataba wa si zaidi ya miezi kumi na mbili (12) na mara baada ya kukamilika kipindi hiki, waajiriwa wote katika mradi huu watatakiwa kujiunga katika utumishi wa umma kulingana na taratibu na kanuni za ajira za Serikali.
• Mradi hautapokea maombi ya wataalam waliopo katika ajira za utumishi wa umma au katika Taasisi/Vyuo vya mashirika ya dini (FBOs) na wataalam wenye umri zaidi ya miaka 45.
• Mishahara itatolewa kulingana na sifa na ujuzi wa mtumishi husika pamoja na maslahi mengineyo yaliyobainishwa katika mradi.
Maombi yote yaambatanishwe na:
1. Barua ya maombi ya kazi, ikipendekeza Halmashauri za Wilaya 2 na Vyuo vya afya Viwili mwombaji anavyopendelea kupangwa kikazi, na pia aonyeshe ridhaa ya kujiunga na utumishi wa umma, baada ya kukamilika kwa mkataba.
2. Nakala ya cheti cha Taaluma na cheti cha kidato cha 4 pamoja na cha 6 (iwapo anacho), na viwe vimethibitishwa na Hakimu au Wakili.

3. Nakala ya cheti cha usajili/leseni, cheti cha mazoezi kwa vitendo (internship) kwa kada zinazohusika kama vile; madaktari, wafamasia, wateknolojia na wauguzi
4. Picha mbili (2) – saizi ya Pasipoti na maelezo binafsi (CV), ikionyesha umri, anuani kamili ya Posta na barua pepe na namba ya simu ya kiganjani, pamoja na anuani/ namba ya kiganjani ya wadhamini wako wasiopungua watatu (3).
Mwisho wa kupokea maombi haya ni tarehe 18 Novemba 2014
Maombi yote yatumwe kwa njia ya Posta kwa anuani ifuatayo:
Afisa Mtendaji Mkuu, Taasisi ya Benjamin Mkapa HIV/AIDS Foundation, S.L.P. 76274, DAR ES SALAAM.
Majibu yatatolewa kwa watakaofanikiwa tu ifikapo tarehe 28 Novemba 2014
===========

BENJAMIN WILLIAM MKAPA HIV/AIDS FOUNDATION 
EMPLOYMENT OPPORTUNITY

The Benjamin William Mkapa HIV/AIDS Foundation (BMAF) is a Trust and not for profit organization with a vision to be a hub of innovation in quality health services delivery in Tanzania. Its strategic focus areas is to strengthen prevention, care & treatment of HIV/AIDS; Maternal New Born health; Human Resource for Health and build its institutional capacity for technical leadership and sustainability.
To implement its 5 years Strategic Plan (2013 – 2018), BMAF seeks for a committed, self-driven, dynamic and competent qualified candidates to fill the vacancies below:

PROGRAMME MANAGER - HEALTH INFRASTRUCTURE 
(RE-ADVERTISED) (2 YEARS CONTRACT)
The Programme Manager will have an overall responsibility of planning, coordinating and monitoring rehabilitation and construction of health infrastructure in the designated regions and District Councils. This includes preparing and issuing quality project implementation progress reports to the Management Team and donors.
The Manager will work under the Directorate of HR and Administration and will directly supervise Programme Officer.
The ideal candidate should have a background in Building Economics, Architect, Quantity Survey and/or Civil Engineering.
He/she should have experience on supervising Consultants and/or Contractors work, and familiar with the rural settings of Tanzania.
She/he should have tactical communication skills and ability to use discretion and judgment, and also have a high level of creativity and innovations, particularly focusing on new and better ways to work. The work requires travelling at least 40% of the working period. 
JOB DESCRIPTION & PERSON SPECIFICATION 
Reports to: Director of Programs 
Direct Reports: PO – Health Infrastructure 
Also will work with outsourced technical assistants, Contracted parties, District Councils, Banks, MoHSW 
Department: Human Resources and Administration 
Duty Station: The Benjamin William Mkapa HIV/AIDS Foundation Headquarters, Dar es salaam 
Overall Purpose of the Job: 
Responsible for planning, coordinating and monitoring rehabilitation of health infrastructure in the designated district councils 
Scope of Work: 
Non-routine with variety: Tasks involved in this job are more complex and are combined with a need for good coordination and observation. 
Organization Context: 
Benjamin William Mkapa HIV/AIDS Foundation is a Trust and not for profit organization with a vision to become a centre of excellence in enhancing delivery of quality response to HIV & AIDS. Its strategic plan is to strengthen health systems, prevention, care & treatment of HIV/AIDS and build institutional capacity to sustain its programs. 
This can be achieved through empowered workforce who are self motivated, committed to growth and seeks excellence in execution. 
JOB SPECIFICATION 
Key Outputs: 
Plan and Budget 

• Review targets set for House for Health staff project, 

• In collaboration with DCs carry out rapid appraisal of properties for rehabilitation and construction 

• Develop an implementation plan including budget, calendar, resources 

• Submit the plan and budget to SMT for review and approval 

• Share the implementation plan with key partners 

• Develop implementation frame work and guidelines that will ensure effective implementation of the project 

• Develop Terms of Reference (TOR) for Contractors – with clear description of scope of work, standard and timeline 

• Submit the TOR to SMT for approval 

• Share the TOR with key partners 

Implementation & Coordination 

• Work with Procurement and Administration Manager (PAM) to Identify Competent Contractors and create a list of potential bidders in all zones 

• Work with PAM to prepare tender documents 

• Submit tender documents to Tender committee and SMT for review and approval 

• Providing independent professional advice and guidance; 

• Attending pre-site and on-site meetings during the contract, liaising with a range of other professionals involved in the project; 

• Make sure that the quality desired for the houses is maintained 

• Ensure that all health and safety checks are adhered to; 

• Control expenditure and ensure every investment meet value for money standard 

• Representing the interest of the Foundation 

Monitoring & Evaluation 

• Keeping track of progress and ensuring that the project is on time and on budget; 

• Liaise with FCU staff and other responsible for M&E to physically inspect all aspects of the projects and file report 

• Maintaining records of expenditure, accounting, costing and billing. 

Reports 

• Project implementation progress report 

Contractors’ effectiveness 

• Supervise all contracted parties closely and take necessary actions in case of delay after getting competent Legal opinion 

• Escalate issues that require SMT attention 

• Escalate issues that require DCs’/MOHSW or DPs attention through DOP 

Decision Making/Authority: 

1) Nature of Decision 

Medium: Decisions made are medium term in nature and impact the implementation of Organizational strategy. 

2) Area of Coverage 

Decisions made may impact the respective section. 

3) Consequence of Error 
Short Term: The decisions required by this job will have an impact at operational unit level, and have budgetary and financial implications at this level. 
Responsibility financial and physical assets 
The incumbent will be accountable/responsible for resources for the section 
PERSON SPECIFICATIONS 
Academic & Professional Qualifications: 
First degree plus professional qualification (preferably of Science in Building Economics, Architect, Quantity Surveyor) 
Relevant Work Experience: 
At least 5 years of work experience 
Interpersonal Skills: 
Tactical: Contacts with both internal and external stakeholders primarily in the course of implementing the Foundation’s strategy. Relationships require sound communications skills and both discretion and judgment. 
Specific Skills/Experience 

• Should have gained initial skills in the building field in the form of work placements or professional experience. 

Other Qualities 

• Must have readiness of mind as well as the ability to think in analytical and networking terms. 

• Must be self motivated with high degree of commitment. 

• Must be ready to work in rural areas 

• Should be enjoying dealing with people and possess persuasiveness and assertiveness. 

• A good command of English and Kiswahili are required for this position. 
For all interested candidate send your achievement focused CV and cover letter addressed to the Director of HR and Administration, Box 76274, Dar Es Salaam- Tanzania, via email:
The deadline for application is on Friday 13th November 2014.
BMAF is an equal opportunity employer and we value diversity

No comments:

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!