Sunday 16 November 2014

HAPPINESS WATIMANYWA KUELEKEA MISS WORLD 2014 ANGALIA UTAMBULISHO NA UJUMBE NDANI YA VIDEO!


2


Mwaka 2013 Happyness Watimanya alishiriki kwenye mashindano ya Redd’s Miss Tanzani 2013 ambapo mashindano hayo yalifanyika Mlimani City jijini Dar es salaam na kuibuka mshindi kwenye kinyang’anyiro hicho….
Siku ya jana Novemba 15 Happyness Watimanywa alianza safari yake ya kuelekea jijini London kuiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Miss World kwa mwaka 2014, lakini kabla hajaondoka alishare na watanzania wenzake video clip ya dakika moja tu, ameniagiza niifikishe kwako unaweza kuiangalia kwa kubonyeza play hapo chini



CRD. BESTIZO

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!