Thursday 20 November 2014

AJIRA:INTERCHECK COMPANY LIMITED MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAR 25 NOVEMBA 2014

INTERCHECK COMPANY LIMITED
INAPENDA KUTANGAZA NAFASI ZA KAZI KATIKA IDARA ZETU MBALIMBALI

1. AFISA MIFUGO(4)
SIFA ZA MWOMBAJI KWA JUMLA
• Awe na cheti cha taaluma husika mfano. Elimu ya mifugo, ukarani na n.k
• Cheti cha kidato cha nne, sita
• Ujuzi wa kompyuta
• Uzoefu wa kazi husika wa miaka miwili au zaidi.
• Leseni ya udereva.
• Mchapakazi, mwadilifu na mwenye kuzingatia muda.
Maombi ya tumwe kwa
Meneja mwajiri
Interchick Co Limited
p.o.box 5774
DAR ES SALAAM MWISHO WA KUTUMA MAOMBI JUMANNE YA TAREHE 25 /11/2014.
=============

2. DEREVA WA MAUZO (4)

3. FUNDI UMEME(1)

4. KARANI (1)

Chanzo: Mwanchi la tarehe 18 Novemba 2014

No comments:

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!