Friday, 21 November 2014

AJIRA: HONEYGUIDE FOUNDATION



MKUFUNZI NA KAMANDA WA DORIA YA KUPAMBANA NA UJANGILI
HONEYGUIDE FOUNDATION- Ni shirika lisilo la serikali Arusha, nchini Tanzania ambalo linajihusisha na kusadia jamii na uhifadhi wa wanyama pori na maliasili kwa kuwa na ushirikiano madhubuti wa muda mrefu na jamii zinazojihusisha na uhifadhi.




Shirika la HONEYGUIDE linatafuta mtanzania mwenye ari na uwezo wa kufanya kazi ya MKUFUNZI NA KAMANDA WA DORIA YA KUPAMBANA NA UJANGILI Katika miradi ya iliyoko katika jumuiya za hifadhi wa wanyama pori (WMA,s) Tanzania.

WAJIBU NA MAJUKUMU
Kuongeza kikosi cha kupambana na ujangilis , kukusanya, kuhifadhi na kutoa taarifa kusimamia utekerezaji wa mipango kazi ya mapambano dhidi ya ujangili. Kufundiisha mbinu mbalimbali za mapambano dhidi ya ujangili. Kuweza kufundisha matumizi na utunzaji wa silaha kuwezakuwa mshauri wa kushiriki katika masura ya kuzuia ujangili.

SIFA NA UZOEFU.
waombaji wa nafasi hii ya kazi wanatakiwa na sifa na uzoefu kama ifuatavyo:-
• Awe na cheti uhifadhi wanyamapori kutoka chuo cha wanyamapori pasiasi au chuo kingine kinachotambuliwa na serikali. Na uzoefu/uliothibiti katika mapambano ya dhidi ya ujangilikwa miaka mitano(5) na awe ameshakuwa kiongozi wa kikosi cha kupambana na ujangili kwa angalau mika miwili (2)
• Awe chini ya miaka 45 hadi muda wa kuomba kazi.
• Awe hajawahi kuhukumiwa kwa kosa lolote la jinai.
• Wombaji wote wenye sifa watume maombi yao wakiambatanisha na vyeti husika na CV zao kabla ya tarehe 30 novemba, 2014 kwenda kwenye barua pepe:
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. au anuaani ifuatayo.
Mkurugenzi mwendeshaji, honeyguide foundation,
S.L.P 2657
ARUSHA.
CHANZO: MWANANCHI LA TAREHE 19,NOVEMBA 2014

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!