Wednesday 22 October 2014

PINDA AZINDUA TOLEO LA JARIDA LA FIRST LINALOINADI TANZANIA

PG4A6350Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Mwenyekiti na Muasisi wa Kampuni ya Invest Africa ya Uingereza, Bw. Robert Hersov kabla ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Savoy,London Oktoba 20, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


PG4A6406Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama Jarida la  First baada ya kukabidhiwa nakala  ya toleo la  jaridai hilo na Muasisi wake, Rupert Goodman  (kulia) kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London , Oktoba 21, 2014. Jarida  hilo limesheheni  makala zenye kuinadi Tanzania na vivutio vyake nje ya nchi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A6421Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza wakati alipozindua toleo la  Jarida la First lenye makala mbalimbali za kuinadi Tanzania na Vivutio vyake nje ya nchi katika hafla iliyofanyika kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza, Oktoba 22, 2014. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe  na kulia ni Mwanzilishi wa jarida hilo, Rupert Goodman. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A6487Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya watanzania wanaosoma nchini Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo uliopo London Oktoba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A6499Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya watanzania wanaosoma nchini Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo uliopo London Oktoba 21, 2014.Watatu kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!