Thursday 23 October 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA BOTSWANA NCHINI TANZANIA IKULU DAR, AKUTANA NA BALOZI WA RWANZA NCHINI TANZANIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. 

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na  Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA NCHINI TANZANIA IKULU DAR KWA MAZUNGUMZO.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya mazungumzo. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!