Thursday 25 September 2014

Video: Wanafunzi wa Kiswahili chuo kikuu cha Florida,Marekani na project ya wimbo wa Diamond

https://fbcdn-sphotos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xaf1/v/t1.0-9/s720x720/10616496_802768729744943_4488760376066454047_n.jpg?oh=164c5dec35bb5cb5ce439131dccabbdc&oe=54C1B9FE&__gda__=1418018585_23c541fb55321563955d23c2b97fcba5

Hii ni video ya wanafunzi wa awali wa lugha ya Kiswahili walioshiriki kwenye mradi wa mwaka 2014 uitwao African Language Initiative (AFLI) katika chuo kikuu cha, Gainesville, Florida nchini Marekani. Wakijifunza lugha hiyo kwa miezi sita, waliamua kutengeneza filamu hii fupi kama kumbukumbu ya muda mzuri waliokuwa nao kwenye mradi huo ulioongozwa na Wakenya, Filipo 






Katika video hiyo ya juu, mwalimu (mwanafunzi anayeigiza nafasi hiyo) wao amewapa kazi ya kufanya kuhusu muziki wa Afrika Mashariki. Wanafunzi hao wanakubaliana kwenda kuongea na mkuu wa chuo kumuomba awape fedha ili wamlete Diamond Platnumz kwenye chuo hicho.
Video ya chini ni fupi ambayo inaonesha kipande walichokuwa wakijifunza kucheza wimbo wa Diamond ‘Number 1′




CRD: KENGETE BLOG

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!