Wednesday, 10 September 2014

UZINDUZI WA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI


PIX 2Mtendaji Mkuu Temesa Injinia Marceline Magesa akitoa neno la shukrani kwa Jeshi la Wanamaji waliwezesha matengenezo ya Mv Kigamboni leo jijini Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kuanza kutumiwa na wananchi wiki hii.
pix 4Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ( katikati mwenye suti nyeusi) akielekea katika eneo ambalo kivuko cha MV Kigamboni kilipo kwa ajili ya ukaguzi wa kazi iliyofanywa na wahandisi wa Jeshi la Wanamaji leo jijini Dar es Salaam.
pix 5Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ( kushoto) na Katibu Mkuu wa Ujenzi Injinia Mussa Iyombe(kulia) wakisikiliza kwa makini maelekezo yaliyokuwa yakitolewa katika ufunguzi wa kivuko cha Mv Kigamboni leo jijini Dar es Salaam kinachofanyiwa matenganezo na Jeshi la Wanamaji maeneo ya kurasini na kinatarajiwa kuanza kutumika wiki hii.pix 6Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ( katikati) akipata maelekezo kutoka kwa Msimamizi wa matengenezo Luten Kanali Abel Gwanafyo (Kushoto), kulia ni Mkuu wa Jeshi nla Maji Brigadia Jenerali Rostian Laswai wakati wa ufunguzi wa kivuko hicho leo jijini Dar es Salaam ,amabapo kinatarajiwa kuanza kutumika wiki hii kurahisisha usafiri kwa watu wa Kigamboni.
pix 7Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ( katikati) akipata maelekezo kutoka kwa Msimamizi wa matengenezo Luten Kanali Abel Gwanafyo (Kushoto), kulia ni Mkuu wa Jeshi nla Maji Brigadia Jenerali Rostian Laswai wakati wa ufunguzi wa kivuko hicho leo jijini Dar es Salaam ,amabapo kinatarajiwa kuanza kutumika wiki hii kurahisisha usafiri kwa watu wa Kigamboni.
pix 8pix 9Kivuko cha Mv Kigamboni kinavyoonekana kwa ndani, kinatarajiwa kuanza kutumika siku ya alhamisi baada ya matengenezo yalifanywa na Jeshi la Wanamaji kwa mda wa wiki tatu tangu kilipoaacha kufanya kazi Agosti 14 mwaka huu.
pix 10Kivuko cha Mv Kigamboni kinavyoonekana upande wa mbele na ubavuni , kikiwa katika hatua za mwisho tayari kwa kuanza kutumiwa na wananchi siku ya alhamisi baada ya matengenezo yaliofanywa na Jeshi la Wanamaji kwa mda wa wiki tatu tangu kilipoaacha kufanya kazi Agosti 14 mwaka huu.( Picha na Lorietha Laurenc eMaelezo)
pix 11Kivuko cha Mv Kigamboni kinavyoonekana upande wa mbele na ubavuni , kikiwa katika hatua za mwisho tayari kwa kuanza kutumiwa na wananchi siku ya alhamisi baada ya matengenezo yaliofanywa na Jeshi la Wanamaji kwa mda wa wiki tatu tangu kilipoaacha kufanya kazi Agosti 14 mwaka huu.( Picha na Lorietha Laurenc eMaelezo)

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!