Friday, 19 September 2014

SCOTLAND YAKATAA KUJITENGA

Scotland imefanya uamuzi wa mwisho kuwa itaendelea kubaki sehemu ya Uingereza , raia kwa pamoja wamekataa uhuru wa Scotland.

Maeneo 31 kati ya 32 wamepika kura ya HAPANA siku ya Alhamisi na kuongoza kwa kura 1,914,187 dhidi ya 1,539,920.
Ushindi huo ni asilimia 55 dhidi ya 45 waliokuwa wakiunga mkono hatua ya kujitenga.
Waziri Kiongozi wa Scotland Alex Salmond amesema ameridhia kuanguka katika mchakato wa kura ya maoni.

1 comment:

Anonymous said...


Mimi nilijua itakuwa hivyo hivyo tuu hata sisi huku Canada Quebec nao walikuja na wazo kama hilo lakini mwisho wa siku ilishindikana,kila kitu kinaendana na uchumi.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!