Saturday, 20 September 2014

PICHA ZAIDI ZA NDOA YA DADA WA DIAMOND NA PETIT MAN.








Wanandoa wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa.



Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless Fame, Petit Man (kushoto) akimvalisha pete ya ndoa dada yake na Diamond Platnumz aitwaye Esma usiku wa kuamkia leo. 
Mama mzazi wa Diamond Platnumz na Esma, Sanura Kassim 'Sandra' (katikati) akiwa katika pozi na wanandoa hao.
Wanandoa Petit Man na Esma wakiwa katika picha ya pamoja.
Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless Fame, Petit Man, amefunga ndoa ya Kiislamu na dada wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz aitwaye Esma usiku wa kuamkia leo.

CRD: VIJIMAMBO BLOG

1 comment:

Anonymous said...

aziz bilal07:04


1


Utafikiria ni mganda huyu shemeji wa Diamond kwa jinsi alivyovalia,koti kanzu na kilemba.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!