Mbunge wa Nzega CCM Dr. Hamis Kigwangalla, akitangaza rasmi nia yake ya kugombea Urais kupitia tiketi ya CCM mwakani 2015
amesema kutokea kuuza karanga na biggee mtaani mpaka kuwa Doctor Mbunge na Kiongozi wa CCM Taifa na kufikia na ndoto ya kutegemea kugombea Urais ina maana moja tu kwamba sera za CCM zina tija kwa Taifa na wananchi wake na yeye ni mfano wa kwanza mkubwa wa kuaminiwa kwamba sera hizo zinajali usawa kwa wananchi kwani pamoja na kupitia yote aliyopitia bado anaweza kutuhubutu kugombea Urais wa Tanzania kwa kukubaliwa na kuruhusiwa kikatiba na chama chake CCM na kuruhusiwa kisheria na Sheria za Jamhuri ya Tanzania. |
No comments:
Post a Comment