Thursday, 11 September 2014

MELI YAVUJA MAFUTA ATHARI KUBWA KWA WAKAZI WA DAR


Meli yavuja mafuta ikiwa hapo zaidi ya mwaka sasa, athari kubwa kutokea kwa wakazi wa Dar. Wadau watahadharisha watumiao maji na samaki wa baharini.



Meli hii ina zaidi ya mwaka katika Pwani ya Kunduchi nyuma ya Hoteli ya Kunduchi Beach.

Kwa sasa (ninapoandika) inamwaga mafuta mengi baharini. 
Uwepo wake hapo inasadikiwa kuwa mamlaka za nchi kama NEMC (Baraza la Mazingira) na hata ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira zinafahamu; sasa huenda hata huu uvujaji wanaufahamu!

Mwanzoni ilianza kukatwa vipande baada ya kushindwa kuendelea na safari yake na kuishia hapo.


Kwa kiasi kikubwa imeharibu mazingira ya hapo baharini.

CRD: JMF

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!