Wednesday, 10 September 2014

MAMA KIKWETE ATEMBELEA BOHARI YA DAWA MSD DAR ES SALAAM

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na wafanyakazi wa Bohari ya Dawa MSD na waandishi wa habari baada ya kutembelea bohari hiyo kujionea vifaa mbalimbali pamoja na vifaa vya kujifungulia wajawazito.

 Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa, Cosmas Mwaifwani.
Meneja Huduma kwa Wateja wa MSD  Salome Mallamia,
  Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa, Cosmas Mwaifwani (kulia), akimuelekeza jambo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akitembelea Bohari hiyo iliyopo Keko jijini Dar es Salaam.
Wengine ni viongozi wa MSD na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA)
Ofisa Mauzo Mwandamizi wa MSD, Yona Msengi (katikati), akimuonesha Mke wa Rais Mama Salma Kikwete vitu mbalimbali vinavyouzwa na MSD. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa MSD, Cosmas Mwaifwani.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, akizungumza na wafanyakazi wa MSD na Wanahabari. Kulia ni Meneja Huduma kwa Wateja wa MSD  Salome Mallamia na Kaimu Mkurugenzi wa MSD, Cosmas Mwaifwani.
  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na 
Kaimu Mkurugenzi wa Manunuzi, Fredrick Nicolaus.(Imeandaliwa na mtandao wa habari za jamii.com-simu namba 0712727062)
 Moja ya kitanda cha kawaida cha wagonjwa kinachouzwa na MSD.
  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Kaimu Meneja wa TEHAMA, Habiba Issa.
 Dawa na vifaa tiba vinavyohifadhiwa katika Bohari hiyo.
  Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa, Cosmas Mwaifwani akimuonesha mashuka Mama Salma Kikwete.
Maofisa wa MSD na walioongozana na Mama Salma Kikwete wakimsikiliza Mama Salma Kikwete (hayupo pichani

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!