Tuesday, 9 September 2014

KING MSWATI MFALME ANAYEONGOZA KWA IDADI YA WAKE WENGI SASA WAFIKIA 14.



KING Mswati Mfalme wa Swaziland amefikisha wake kumi na nne 14 baada ya juzi jumatatu kumchagua mke mwingine mwenye umri wa miaka 19 masharti ya mwanamke anaetakiwa kuchaguliwa ni sharti awe bikra.

Takribani wasichana 80,000 walipita mbele ya wageni wa heshima 46 ambapo na mfalme alikuwa ameketi mbele akiwa kaketi na malkia aliechaguliwa mwaka jana LaFogiyane Baadhi ya wasichana wanakimbia katika taifa hilo kutokana na sheria hizo.

Wasichana hao hupita wakiwa nusu uchi ndipo mfalme anachagua mke wake kafikisha wake 14.

1 comment:

Anonymous said...

aziz bilal03:12


1
Reply

Huyo king kajaaliwa sana na mwenyezi mungu kuwa na nguvu ya namna hiyo.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!