KIFARU CHA JWTZ CHAPARAMIA NYUMBA NA KUSABABISHA KIFO
Picha ya kifaru kikiwa kimeivaa nyumba na kusababisha vifo Ajali nyingine yatokea Mtwara na kuua wanajeshi watatu na raia mmoja baada ya kifaru kujaribu kukwepa lori la mabomba ya gesi na kuivaa nyumba iliyokuwa pembezoni.
No comments:
Post a Comment