Monday 1 September 2014

JESHI LA POLISI KAHAMA LIMELAZIMIKA KUFYATUA RISASI ZA MOTO, BAADA YA WANANCHI KUCHOMA MOTO WATUHUMIWA


Maafisa wa jeshi la Polisi wilaya ya Kahama wakiwa katika eneo la tukio katika kwaajili ya kuuchukua mwili wa Marehemu.Inasemekana watuhumiwa hao walivamia chumba ya mkazi mmoja wa mtaa wa Muhungula Kahama na kujeruhi kwa mapanga watoto wawili ussiku wa kuamkia leo.







Endelea kufatilia mtandao huu na muda si mrefu tutawaletea taarifa Kamili.

1 comment:

Anonymous said...

aziz bilal17:59


1


serikali itume jeshi kule Kahama kuzuia mauaji pamoja na wananchi kuchukuwa sheria mikononi mwao,hapa inavyoonekana police wameshindwa kudhibiti wananchi.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!