Tuesday, 9 September 2014

INASIKITISHA KUONA MADEREVA NDIO CHANZO KIKUBWA CHA VIFO VINGI-MWANAMKE AGONGWA NA LORI NA KUFA PAPO HAPO, MBEZI JIJINI DAR



Mwili wa mwanamke mmoja ambaye hakufahamika jina lake baada ya kukanyagwa na lori na kupoteza maisha.


 
Msamalia mwema akiufunika mwili wa mwanamke huyo.



Baadhi ya wananchi wakiwa eneo la ajali.

 MWANAMKE  mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja amepoteza maisha baada ya kukanyagwa na lori lenye namba za usajili T277 CLY JANA katika maeneo ya Mbezi Tanki Bovu, jijini Dar es Salaam.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!