Sunday, 21 September 2014

IDRIS SULTAN MWAKILISHI TOKA TANZANIA BIG BROTHER

Mpiga picha na Msanifu kurasa, Idris Sultan mwakilishi wa Tanzania kwenye Big Brother HotShots ya mwaka huu.

Idris Sultan akiwa katika mapozi.
MPIGA PICHA na Msanifu kurasa (Graphic Designer), Idris Sultan anayefanya kazi kwenye kampuni ya I-View Studios, ni mwakilishi wa kwanza kutoka Tanzania aliyetajwa tayari kutuwakilisha mwaka huu kwenye shindano la Big Brother Africa. Majina bado yanaendelea kutajwa hivyo tunangoja kufahamu mshiriki wa pili.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!