Thursday, 11 September 2014
HIVI KWANINI MTANZANIA UKIAMBIWA UNA MAMBO YA KIZUNGU INAONEKANA NI SIFA, UKIITWA MSWAHILI NI DHARAU? -KLYNN
Ni kutoka kwenye stori za facebook, twitter na instagram ambapo hizi ni tweets alizoziandika Jackline Ntuyabaliwe ambayo ni maswali unayoweza kujiuliza na kunipa majibu yako kwenye comments hapa chini…
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment