Wednesday 17 September 2014

HITMA YA MAREHEMU JAMILA TUMBO YAFANYIKA SILVERSPRING MARYLAND MAREKANI

Kaka ya marehemu Ally Tumbo akijumuika na Watanzania wengine kwenye hitma ya mdogo wake Jamila Tumbo iliyofanyika Jumapili Sept 14, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa  na ndugu jamaa na marafiki.


Dr Seche (kushoto) akimfariji mmoja ya ndugu ya marehemu aliposhindwa kujizuia kwenye hitma ya ndugu yake Jamila Tmbo aliyefariki siku ya Jumapili Sept 7, 2014 katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam, Tanzania,


Msanii wa Bongo Movi, Aunty Ezekiel (kulia) akijumuika na Watanzania wa DMV kwenye kisomo cha hitma ya Jamila Tumbo iliyofanyika siku ya Jumapili Sept 14, 2014.

Mwanamuziki wa kizazi kipya Cassim Mganga akijumuika na Watanzania DMV kwenye hitma ya Jamila Tumbo.

Kaka ya marehemu Ally Tumbo akiwashukuru wana DMV kwa kujumuika na kuwafariji katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa mdogo wao.

Mudy Mabenzi (shati jekundu) akiendesha hitma huku akisaidiana na wenzake siku ya Jumapili Sept 14, 2014

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!