Sunday, 7 September 2014

DR KHAMIS KIGWANGALLAH NA FAMILIA YAKE AKIWASILI KWENYE HOTELI YA HYYAT KILIMANJARO TAYARI KWA KUTANGZA NIA YA KUWANIA URAIS WA TANZANIA MWAKA UJAO

1Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya serikali za Mitaa na Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangallah akiwasili katika hoteli ya Hyyat Kilimanjaro kwenye mkutano na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali ambapo leo ametangaza nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania unaotarajiwa kufanyika mwaka ujao 2015, Dk. Khamis Kigwangallah ameongozana na mke wake Dr. BayoumAwadh na watoto wake Sheila ambaye ni mkubwa Hawa na HK Junior aliyembeba.


2Dr. Khamis Kigwangallah wakiigia katika chumba cha mkutano tayari kwa kuanza mkutano huo.

1 comment:

Anonymous said...

aziz bilal20:18


1
Reply

Basi kila mtu anataka awe rais baada ya kuona mafanikio ya mswahili JK wanafikiri ni kitu cha rahisi na na cha kuvamiwa vamiwa ovyo.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!