Thursday, 4 September 2014
DIAMOND PLATNUMZ KUTUMBUIZA KWENYE UZINDUZI WA BIG BROTHER AFRICA
Diamond platnumz atakuwa miongoni mwa wasanii wataotumbuiza kwenye uzinduzi wa msimu mpya wa shindano la Big Brother Africa utakayofanyika jumamosi hii, September 7 nchini Afrika Kusini.
Akizungumza , Meneja wa staa huyo Babu Tale amesema Diamond atarejea leo akitokea nchini Ujerumani ili kujianda na show hiyo.
''Diamond anarudi leo saa tano usiku atakuwa kasharudi bongo kwa sababu weekend hii tunaperform kwenye Big Brother Africa. Tukitoka South Africa tunakwenda Nairobi kwenye Coke Studio kurekodi. Tukitoka Nairobi tunakwenda Uingereza kwenye show ya Africa Unplugged, Kwa hiyo ratiba yetu ipo tight,''amesema Tale.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment