Kazi ya uokoaji ikiwa inaendelea na kuzima moto
Usalama ukiwa umeimarishwa
Kasi ya kuzima moto ikiongezeka
Kila mmoja kwa jitihada zake anafanya kazi ya kuokoa
Gari la zima moto likiwa linafanya kazi ya kuzima moto huo
Kila mmoja anafanya kazi ya kuokoa
Ulinzi umeimarishwa
Pia kwa Gari la kubebea wagonjwa lipo
Kwa Taarifa za awali kutoka kwa Mashuhuda wanadai kwamba chanzo cha moto huo ilikuwa ni Hitirafu ya umeme...
TAARIFA KAMILI BAADAE ENDELEA KUWA NASI!
No comments:
Post a Comment