Thursday, 11 September 2014

BIBI MLEMAVU ALIYEJITENGENEZEA JENEZA KWA KUCHOSHWA NA DHIKI, APATA MSAADA WA WHEELCHAIR TOKA KWA MSAMARIA MWEMA TOKA MAREKANI- HONGERA MDAU WA MAREKANI KWA MOYO WAKO!

Kuna masamalia mwema ametuma Wheelchair kwa Scholastica Mhagama (76)  mwenye ulemavu wa viungo anayeishi pekee yake katika kibanda kilichoezekwa kwa nyasi.


Bibi huyo mkazi wa Kijiji cha Lundusi Kata ya Peramiho wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma, Msamalia huyu kutoka Maryland Marekani anaitwa Joyce Rwehumbiza aliguswa na stori iliyoandikwa na gazeti la mwananchi iliyoweka mawasiliano na  albano.midelo@gmail.com, 0688551355 iliyobeba kichwa cha habari "Bibi ajitengenezea jeneza baada ya kuchoshwa na dhiki" 

Joyce Rwehumbiza ameishatuma Wheelchair hiyo inafika Dar es Salaam leo Ahamisi Sept 11, 2014 na amejaribu kuwasiliana na mwandishi wa hii stori lakini hakuweza kumpata ameomba tafadhali Albano Midelo awasiliane na namba 0765 835722 wheelchair itafikia hapo na ameombwa afanye haraka kwani baada ya siku 2 huyu mama anatarajiwa kusafiri.
Bibi Scholastica Mhagama akiwa amejitengenezea jeneza lake

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!