Sunday, 7 September 2014

ASKARI AFARIKI KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA.



"Huyu anaitwa Afande John kapata ajali mbaya mpaka kufariki maeneo ya kisarawe huyo yupo pale myfair TRA upande wa leseni za magari (Driving licence) pole kwa jeshi la polis pia na familia mwenyezi mungu ailaze roho yake pema peponi Amen. Ni kipenzi cha wengi."

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!