Basi la Kampuni ya Air Bus likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali.
Watu zaidi ya wanne wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya basi la Air Bus lililopinduka eneo la Kiegeya, Gairo mkoani Dodoma mchana huu. Jitihada za kuokoa maisha ya abiria zinaendelea.
HABARI KAMILI ZITAKUJIA PINDI TUTAKAPOZIPATA ENDELEA KUWA NASI
1 comment:
aziz bilal17:33
1
Reply
Ulevi na utumiaji wa dawa za kulevya umekithiri kwa madereva wetu wa mabasi nchini.
Post a Comment