Friday, 15 August 2014

Tukiwa tunaelekea mwishoni mwa uongozi wake wa miaka 10 akiwa Rais. Je, kitu gani utakikumbuka toka kwa Rais Kikwete?

2 comments:

Anonymous said...

Mwesigwa King Kabyemela


Bingwa wa demokrasia, amepeleka maji katika mikoa ambayo ilikuwa sugu kwa ukosefu wa maji kama Singida, Tabora, Kahama, pia sera ya umeme vijijini na miundombinu kwa ujumla kaongeza mikopo kwa wanafunzi, Leo Tanzania inashika nafasi ya 4 kwa kuwa na jeshi imara Africa. mimi sio shabiki wa chama chochote ila pale mtu anapopatia lazima umpe sifa yake, sema ndo hivyo huwezi kupendwa nawatu wote labda ugeuke Pesa, wanaombeza Kikwete nawale wafupi wakufikiri pia hawajapata bahati yakutembea mikoa mbalimbali.

Anonymous said...



aziz bilal03:35


1
Reply

Kushughulikia issue ya uraia pacha

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!