Thursday, 14 August 2014
TANZANIA YAPOTEZA ASKARI WAKE WATATU DRC-CONGO
Askari 3 wakulinda amani toka Tanzania wafariki Dunia katika ajali ya barabara katika mbuga ya wanyama pori la Virunga na wengi wawili wakijeruhiwa vibaya sana.
Askari hao waliokuwa katika kikosi maalumu cha UN walikuwa wakitoka BENI kuelekea Goma huko Kivu kaskazini. Miili ya askari hao imewasili kunako uwanja wa ndege wa Goma
Askari wa tanzania waliofariki Dunia kupitia ajali ya barabara huko mashariki mwa Congo wapelekwa kwao nyumbani.
Askari hao watatu walikuwa katika kikosi maalum cha UN kinacho saidi jeshi la Congo FARDC kuyapokonya silaha makundi ya wapiganaji mashariki mwa nchi hiyo hasa eneo la Beni.
CHANZO.VOA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment