Ndugu Timothy Kulewa wa Manchester Uingereza, anasikitika kutangaza kifo cha Mke wake Maryam Nassor Jarufu kilichotokea juzi 26/08/2014 kwa Ajali ya gari Morogoro akitokea safarini Mwanza. Mazishi yanafanyika leo Ijumaa 29/08/2014 saa Tisa alasiri katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam, Baada ya Misa itakayofanyika Kanisa la kilutheri Mbezi Beach ( Tangi Bovu) saa Saba mchana.
CHANZO: BLOG YA WANANCHI.
2 comments:
aziz bilal16:01
1
Mbona hamna habari kamili kuhusu kutokea kwa hiyo ajali?
aziz bilal03:07
1
Reply
Hi Sophy habari yenyewe ndio hivyo hivyo haijaelezea alifariki vipi,,imenitisha kidogo kwani kila nikisafiri nyumbani siku hizi huwa naendesha mpaka Mwanza mwenyewe,barabara imekuwa ni nzuri sana siku hizi sio ka zamani,na ninafikiria marehemu hakupata ajali wakati akiendesha kwenda Mwanza,m/mungu amlaze mahali pema peponi.Nakutakia shughuli zako njema.Bilal.
Post a Comment