Sunday, 17 August 2014

MASANJA ATOA USHAURI MZITO KWA WAPENZI HAWA!



Baada ya uhusiano wa diamond na wema kuingia katika misukosuko na diamond kutoa ujumbe mzito kumhusu wema sepetu, mchekeshaj maarufu hapa bongo masanja mkandami ameamua kufua ya moyoni kuhusiana na uhusiano wa wawili hawa.

masanja alisema haya

“Street pastor anasema.. hili swala la diamond na wema nadhani mungu amemuhurumia mmoja wapo kati ya hao wawili. kama wangekuwa watu wa kuoana wangesha oana uchumba gani mrefu kama wanasomea udokta???? rafiki yangu nasib, kama kweli mlipendana kwa dhati hizo kasoro zinarekebishika, maana hakuna mwanadamu aliye sahihi kwan hata ww nasib unamapungufu yako. na wewe dada yangu wema lazima ujue mme ndio kichwa cha nyumba kwa maelezo hayo inaonyesha haumsikilizagi mwenzio omba msamaha tenaaa na tena na ukubali kubadilika. mi sipendi mkiwa mnaongozana wote kwenye ma show ya usiku mme kafanye kazi mke abaki home ukirudi mwili umepoa hata ujauzito unaingiaa!! sasa woote stejini mkirudi miili ya moto si mtazaa popompoo jamaniii!! nitafurahi kusikia tofauti zenu mmezimaliza kwa amani ili mashabiki wenu wasijisikie vibaya.” Alimaliza masanja.!

1 comment:

Anonymous said...

Diamond and wema nnipenda kuwashaur km kila mtu ana mapenz ya kwel kwa mwenzie bac kila mtu achukue majukum yake

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!