Tuesday, 12 August 2014

KUNYWA MAJI YA NDIMU/ LIMAO KILA ASUBUHI KWA FAIDA HIZI!

image


  1. Inaboresha uyeyushaji wa chakula mwilini(Digestion
  2. Kuongeza mfumo wa kinga mwilini
  • Kuongeza nishati
  • Kuimarisha ngozi, na kufanya iwe nyororo!
  • Inapunguza Inflammation( uvimbe)
  • Kupunguza uzito
  • Ni antbakteria, na inazuia virus, mafua N.k
  • Inapunguza nguvu ya mafua
  • Inafanya uwe na pumzi nzuri mdomoni( freshen Breath)
  • Inasaidia ubongo
  • inakukinga na kansa
Chukua kipande cha limao,kamua kwenye glas ya maji vuguvugu,kunywa kabla ya kula chochote asubuhi, ili uweze kupata faida zilizotajwa hapo, baada ya hapo unaweza ukanywa hata mchana kama upendavyo, badala ya kunywa maji plain unaweza kamulia ndimu au limao kupata radha na pia kupata faida hizo hapo juu.

Limao au ndimu ina virutubisho vingi ambavyo pia ni muhimu sana kwa maisha yetuya kila siku
Ndimu/ limao linauwezo wa kuondoa  Uric Acid kwenye viungo ambayo husababisha inflammation.
Limao lina vitamin C, B, calcium, iron, magnesium, potassium, enzymes, antioxidants,  fibers.


Limao husaidia mwili wako kuzuia  uharibifu wa seli , tishu, na viungo. na pia ina stimulates ini liweze fanya kazi vizuri kwa kuzalisha Enzymes zaidi na kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. Lemon juisi hufanya kazi kama diuretic inasaidia njia ya mkojo  na pia kubadili kiwango pH ambayo inasababisha ukuaji wa bakteria. Hii ni muhimu sana kwa watu ambao mara nyingi wanakabiliwa na UTI (maambukizo ya njia ya mkojo). Na kama ilivyoelezwa kabla, limao au ndimu hufanya myeyusho wa chakula (digestive) na kusafisha taka zote.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!