Friday 22 August 2014

BURUNDI YAJITENGA KWA MUDA KATIKA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI...



Burundi imejitenga kwa muda kutoka Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na kubaki kama waangalizi (Observers) kutokana na kushindwa kumudu gharama za vikao ambavyo ni 6 kwa mwaka

- Aidha, imesisitiza kuwa haitajiondoa katika jumuiya hiyo na itarudia katika uanachama wake wa kawaida hali ya uchumi wake utakapotengamaa

VIA-DW

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!