Friday, 29 August 2014

ASHITAKIWA KWA KUENDESHA VITENDO VYA KIHUNI NA KUWAINGILIA WANAUME KINYUME CHA MAUMBILE



Huyu ndiye Mwanaume anayetuhumiwa kuendesha vitendo vya kihuni vya kutegeshea wanaume kwa kumtumia msichana mzuri sana na wanapoenda gesti yeye huvamia na wenziwe na kuwafanyia vitendo vya kuwabaka wanaume walionaswa na mtego wake, kwa mfano!!:-
- Majuzi amemfanyia bwana mmoja mwenye uwezo, wakamvamia gesti wakamdai Shillingi Millioni 12 yule bwana akawaambia ana Millioni 2 tu nyumbani kwake wakaenda naye akachukua hizo pesa badala ya kumuachia wakarudi naye tena gesti na kumlazimisha kumbaka kwa nguvu jana yule bwana amejiua na huyu bwana na kundi lake wapo rumande 






Marehemu akiwa amejinyonga mara baada ya kufanyiwa unyama wa kusikitisha..

  Yule baba aliyeingiliwa kinyume cha maumbile na jamaa wawili, akiwemo mume wa mwenye mke na rafiki yake , baada yakufumaniwa juzi Mwananyamala Jijini Dar  amejiua. Sababu ya kujiua kwake imeelezwa  ni  kutokana na kile kinachoitwa fedheha,baada  ya kufanyiwa unyama  na baadaye picha zake za kusikitisha  kusambazwa mitandaoni. Tayari Mhusika mmoja  wa waliofanya unyama huo amekamatwa na polisi na mwenzake bado anatafutwa.


MSHITAKIWA AKIWA CHINI YA MIKONO YA POLISI

1 comment:

Anonymous said...

aziz bilal15:57


1
Reply

Unyama kama huo sio mgeni sana hususani kwa waliokulia mitaa ya Kariakoo mjini Dar zamani kumekuwepo habari ka hizi kufanyiwa watu lakini kwa bahati mbaya then kulikuwa hakuna vyombo vya habari kama hivi leo.

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!