Thursday, 10 July 2014

ZIJUE FAIDA ZA STAR FRUIT (MBILIMBI) MWILINI

FAIDA ZA MBILIMBI:
1. Huleta nafuu kwa wagonjwa wa saratani
2. Ina vitamin C,A.B complex, Iron,Potassium, Phosphorous,Zinc,Fiber &
Antioxidant.

3. Inapunguza lehemu(Cholesterol)
4. Hupunguza maumivu ya kichwa,homa,maumivu ya viungo na hangover.
5. Kwa mama anayenyonyesha husaidia kuongeza kiwango cha uzalishaji
maziwa.
6. Huboresha ngozi na mifupa
7. Hutoa nafuu kwa wagonjwa wa Surua na Tetekuwanga
ANGALIZO:KWA WAGONJWA WA INI WASITUMIE TUNDA HILI

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!