Wengi tumezoea kuamini kuwa vitu vya thamani ndio vinapendezesha nyumba, pangilia rangi na usipende kuweka mapambo mengi maua kila kona, kumbuka kila kiytu kikizidi kinachosha na hata madhara, utakapojaza makorokoro mengi, mapicha huku na huku inakuwa kazi hata kufanya usafi, na nyumba yako itakosa hewa na ni hatari kiafya!
Sunday, 27 July 2014
SI LAZIMA UWE NA VITU VYA KIFAHARI KUFANYA DINNING YAKO IPENDEZE, MPANGILIO MZURI NDIO SIRI YA UREMBO!
Wengi tumezoea kuamini kuwa vitu vya thamani ndio vinapendezesha nyumba, pangilia rangi na usipende kuweka mapambo mengi maua kila kona, kumbuka kila kiytu kikizidi kinachosha na hata madhara, utakapojaza makorokoro mengi, mapicha huku na huku inakuwa kazi hata kufanya usafi, na nyumba yako itakosa hewa na ni hatari kiafya!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment