Zaidi ya nyumba 3 za Biashara zilizopo karibu na Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam zinateketea kwa moto ambao bado unaendelea kuwaka kwa kasi na kutishia nyumba zingine zilzopo jirani. Zimamoto wamefika eneo la tukio na kuanza kuzima moto. Endelea kufuatilia kwa taarifa
CRD: Fredy Tony wa Blog za Mikoa
No comments:
Post a Comment