Wednesday, 30 July 2014

LINA NA MCHUMBA WAKE WATOA MISAADA KWA WAJANE, VIKONGWE YOMBO JIJINI DAR!

Gari lililombeba Linah likiwasili Yombo-Kilakala.


Linah akielekea walikokuwa wajane.

….Akitembea kwa madaha.



Wajane wakimsubiri.
Linah akiongea na mmoja wa vikongwe eneo la tukio.
Mmoja wa watu wa msafara wa Linah akishusha mzigo.
Mchumba wa Linah aitwaye Naggar akimsalimia bibi mjane.
Linah akiongea maneno machache kabla ya kutoa misaada.
…Akimkabidhi mmoja wa wajane hao baadhi ya misaada.
Akimpatia khanga mmoja wa watu ambao anawasimamia mabibi hao.
…Akimkabidhi msaada mmoja wa vikongwe.
Baadhi ya watu wa msafara wa Linah.Linah akiwa na wajane na vikongwe na watu wa msafara wake.Mmoja wa mameneja wa Linah tiwaye Moze (mwenye kanzu) nyeupe akibadilishana maneno mawili matatu kwa mwenzake.
Mwandishi wa mtandao huu Shakoor Jongo (katikati) mwenye kanzu ya ‘damu ya mzee’ akiwa katika picha ya pamoja na watu wa msafara wa Linah.

MWANAMUZIKI wa nyimbo za kizazi kipya ‘Bongofleva’ Estalina Sanga ‘Linah’,  juzi kati alitoa misaada kwa wajane na vikongwe wanaoishi maeneo ya Yombo-Kilakala  ukiwa mkono wa Idd Mubarak.
Akizungumza na mtandao huu muda mfupi kabla hajakabidhi misaada hiyo,  alisema kuwa kilichomfanya akaenda Yombo ni huruma yake kwa kinamama wajane kwani naye hali hiyo inaweza kumtokea.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!