Wednesday, 16 July 2014

HII SI SAWA NA SI HAKI! SIDHANI HATA DINI INARUHUSU HUU UNYANYASAJI.MWANAUME ANAKULA KIPONDO CHA MBWA MWIZI KWA KUNASWA ANAKULA MCHANA WAKATI WA MWEZI MTUKUFU

3 comments:

Anonymous said...


aziz bilal14:23


1


Hii hairuhusiwi kabisa,je huyo mtu labda angelikuwa wa imani tofauti na waislam ,hata mtume (s.a.w)alikuwa anawaheshimu walio tofauti na imani yake,huu ni uvujnaji wa amani na wanaitia doa baya hii dini ya mwenyezi mungu subhana wataallah

Anonymous said...

flora mrema15:26


1
Reply

Ivi kua Mtakatifu kwa Mungu ni mwezi tu?jamani!!!!

Anonymous said...

aziz bilal02:55


1
Reply

Kuwa watakatifu tunatakiwa tuwe siku zote na hairuhusiwi kabisa kwa dini ya kiislam kulazimisha watu kuwa watakatifu

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!