Tuesday, 8 July 2014

HAWA NI BAADHI YA WATANZANIA WAUZA "UNGA" WALIOKAMATWA KATIKA NCHI MBALIMBALI DUNIANI

Baadhi ya watuhumuiwa wa kiume waliokamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya ‘unga’.

HATIMAYE gazeti namba moja kwa habari za uchunguzi Tanzania, paparazi limeyanasa majina 403 ya Watanzania waliokamatwa, kufungwa au kushikiliwa katika magereza mbalimbali duniani kwa makosa ya madawa ya kulevya ‘unga’.Hivi karibuni, serikali ilikiri kukamatwa kwa Wabongo hao nje ya nchi na kusema baadhi yao wanasubiri kunyongwa baada ya kupatikana na hatia. Hata hivyo, serikali ilificha majina ya watu hao. 
Ifuatayo ni orodha ya majina hayo na maeneo wanayotoka nchini Tanzania. Kwenye mabano ni hukumu zao.
Abdallah Ally Rashid Mbonde Fredue, Dar (miaka 15 jela), Mzia David Michael, Dar (22), Rashid Mzonge, Magomeni, Dar (maisha), Salum Jumbe Pigigi (maisha), Ramadhan Iddi Juma, Kinondoni, Dar (7), Saleh Happy Hambona, Dar (18), Michael Dalasi Taraja, Temeke, Dar (19) na Juma Omar Mgeni (kunyongwa)

CRD: LE MUTUZ.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!